Sisi familia ya DODOMA MEDIA GROUP, DODOMA TV NA DODOMAFM RADIO tunaungana na familia ya Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu na watanzania wote kukutakia Kheri ya Siku ya kuzaliwa kwako.
Tunakuombea kwa Mwenyezi Mungu Maisha marefu, azidi kukulinda na kukufanikisha katika kuyatekeleza majukumu yako ya kuwahudumia watanzania, na kuliongoza Taifa letu kwa Amani,
Happy Birthday Rais wetu, Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Comments
Post a Comment