Skip to main content

RAIS MAGUFULI AMEWAACHIA HURU WAFUNGWA 585 NA 2,734 KUPUNGUZIWA ADHABU

         Image result for rais Magufuli muungano



Rais Magufuli  katika kuadhimisha Miaka 54 ya Muungano wa Tanzania ametoa msamaha kwa wafungwa 3,319 ambapo wafungwa 585 wataachiwa huru leo, na 2,734 wamepunguziwa adhabu zao.





Comments