Skip to main content

LIGI YA MKOA WA DODOMA YAENDELEA KUSHIKA KASI

                     Image result for CHAMA CHA SOKA MKOANI DODOMA DOREFA 

Baada ya hapo jana Ligi ya mkoa wa dodoma kumaliza hatua ya kwanza ya makundi kwa vituo vya dodoma mjini na kituo cha mpwapwa.


ligi hiyo inaingia katika hatua nyingine ya sita bora ambayo inatarajia kuanza kutimua vumbi mwezi huu tarehe 14 ,huku pia dirisha la usajili likiwa limefunguliwa kwa vilabu ambavyo vimeingia hatua ya sita bora

Ni WATUMISHI,AREA D,GURRENS,SHELI AJAX,GWASSA.

Katibu wa chama cha soka mkoani dodoma akizungumzia hayo baada ya hatua ya awali kukamilika hapo jana nini kinafuata katika ligi hiyo.


Amesema kuwa ligi ya mkoa wa dodoma hatua ya sita bora inatarajia kuendelea siku ya jumatano tarehe 14 ambapo kwa sasa vilabu vimepewa nafasi ya kufanya usajili wa wachezaji .

Comments