
Kituo
cha sheria na haki za binadamu leo
Marchi 16 hadi 17 kipo kwenye mafunzo ya mchakato wa katiba na maswala ya haki za binadamu kwa wasaidizi wa
kisheria kutoka nchi nzima wanaotoa msaada wa kisheria kwa wananchi.
Mwanasheria na Afisa
Program katika kituo cha sheria na haki za bidadamu anayesimamia maswala ya
katiba WILLIAM BENJAMIN KAARE amesema
lengo la mafunzo hayo ni kuwaleta pamoja
wasaidizi wa kisheria kutoka nchi nzima na kuwajengea uwezo wa kufafanua kwa
wananchi juu ya maswala ya katiba.
Benjamini amesema
pamoja na mchakato wa katiba kukwama tangu mwezi march 2015 kutokana na sababu
mbalimbali ikiwemo uchaguzi mkuu lakini wanakatiba inayopendekezwa ambayo ipo
na inatakiwa kuendea .
Sambamba na hayo amesema
wanapoeleke kwenye chaguzi mbalimbali ni muhimu wananchi wakaingia wakiwa
wameridhiana kwa kuwa na katiba inayowahakikishia kuwepo kwa haki zao
walizozipendekeza kwenye katika ndio sababu ya kuona umuhimu wa kuyajadili kwa
pamoja.
NA
PHINA NIMROD
DODOMA FM
Comments
Post a Comment