Uongozi wa klabu ya Singida United umetoa pongezi kwa wachezaji wao kuitwa kujiunga na kikosi cha timu ya taifa chini ya miaka.
Kupitia ukurasa wao wa Twitter, Singida United wamethibitisha taarifa hii.
Singida United F.C @Singidaunitedfc
HONGERENI WACHEZAJI WETU
1.Assad Juma
2.Mohamed Abdallah
http://3.Ally Ng’anzi
4.Issa Makamba
Kwa kuiitwa U-20 National Team kwaajili ya mechi za kufuzu michuano ya AFRICON U-20 -2019
Comments
Post a Comment