DODOMA LIVE KWA FAIDA YAKO 19 APRIL 2018
Faida zitokanazo na Juisi ya Limao
Fuatilia Hapa
DODOMA LIVE NGUZO IMARA 19 APRIL 2018
Changamoto
wanazokumbana nazo wafanyakazi wa nyumbani ikiwemo kupewa majukumu kupita kiasi
na manyanyaso .
Fuatilia Hapa
DODOMA LIVE MTAANI 19 APRIL 2018
Uzinduzi
wa Mnara wa Magufuli (MAGUFULI SQUARE)
katika Chuo cha Serikali za Mitaa kilichopo Kata ya Hombolo Mkoani
Dodoma
.
Fuatilia Hapa
DODOMA LIVE MAKALA YA WIKI 19 APRIL 2018
Faida za uhifadhi
wa mazingira,Unashiriki Vipi Kuhifadhi Mazingira
Fuatilia Hapa
NGUZO IMARA 18
APRIL 2018
Wanawake katika
Manispaa ya Dodoma washauriwa kujiunga katika vikundi mbalimbali vya kujikwamua
kiuchumi ili waweze kupatiwa Asilimi 5 ya Mapato ya Halmashauri ziwaendeleze
Kiuchumi.
Fuatili hapa
DODOMA LIVE
MTAANI 18 APRIL 2018
Wakazi wa Mtaa wa Kisabuje Area A
Manispaa ya Dodoma Walalamikia Dampo
bubu katika Eneo lao
Fuatilia hapa
FAHAMU :Shughuli za TBS,Faida za Alama ya Ubora ya TBS
na namna ya kushirikiana na TBS
Fuatilia hapa mahojiano
DODOMA LIVE 17
APRIL 2018 KWA FAIDA YAKO
Fahamu faida za
Viazi Lishe katika Mwili wa Binadamu
Fuatilia Hapa
NGUZO IMARA 17
APRIL 2018
Vijana wa kike
washauriwa kujipanga vyema wanapohitimu masomo yao waweze kujiajiri wenyewe.
Fuatili hapa
DODOMA LIVE
MTAANI 17 APRIL 2018
Kutana na Malkia wa
Nyuki kutoka mjini Dodoma akielezea Matumizi ya Asali na Faida zake.
Fuatilia hapa
DODOMA LIVE
MTAANI 16 APRIL 2018
Lengo la serikali
kuanzisha corse ya usindikaji nyama na
uchinjaji
Fuatilia hapa
DODOMA LIVE NGUZO IMARA 4 APRIL 2018
DODOMA LIVE MTAANI 4 APRIL 2018
DODOMA LIVE MAKALA
YA NYAKATI ZINABADILIKA 28 MARCH 2018
DODOMA LIVE KWA FAIDA YAKO
DODOMA
LIVE NGUZO IMARA 28 MARCH 2018
Fahamu namna ambavyo wosia unatolewa,unavyoandikwa,Kuna aina ngapi za wosia,Lini unapaswa kutolewa na muhusika mkuu anayepaswa kupatiwa WOSIA
DODOMA LIVE MTAANI 28 MARCH
2018
Mtandao wa Asasi za kiraia mkoani Dodoma NGONEDO uko katika
mpango wa kutoa elimu kwa jamii juu ya kupashana habari kupitia masuala
mablimbali yanayotekelezwa na serikali.
DODOMA
LIVE MTAANI 26 MARCH 2018
DODOMA
LIVE MAKALA YA HABA NA HABA
Je
unafahamu kuwa mtoto chini ya umri wa miaka 5 anaugua kisukari? Nini
kinasababisha augue kisukari katika umri mdogo?na Je Jamii ina Elimu juu ya
Hili? Tunaweza kumkinga Vipi asiugue? Fuatilia hapa Makala ya Haba na Haba ina
MAJIBU yote
DODOMA
LIVE NGUZO IMARA 20 MARCH 2018
UNAFAHAMU
MADHARA/ATHARI ZA KUWEKA PESA KWENYE MATITI? Baadhi ya Wanawake hupenda
kuhifadhi au kuweka pesa kwenye matiti wakiamini kwamba ni sehemu sahihi ya
kuhifadhi pesa na kuamini kuwa ni rahisi zaidi kulinda kuliko ambavyo
wangehifadhi sehemu nyingine. Kipindi cha dodoma Live kimefanya mahojiano
kupitia kipengele chake cha NGUZO IMARA kujua kama wanawake wanafahamu kuwa ni
hatari kuweka /kuhifadhi pesa kwenye Matiti. Fuatilia mazunguzo aliyofanya
Mhindi Joseph.
DODOMA
LIVE MTAANI 20 MARCH 2018
Elimu
inayotolewa katika vyuo mbalimbali hapa nchini ,je inamundaa Mhitimu aweze
kujiajiri au kuajiriwa? Baadhi ya wanafunzi wameeleza kuwa Elimu ya Tanzania
bado ni changamoto katika kumuandaa Mhitimu kujiajiri,Wengi wamekiri kuwa
inamuandaa mhitimu kuajiriwa na si kujiajiri. Fuatilia mahojiano aliyofanya
Alfred Bulahya na Wewe toa Maoni yako unaonaje Elimu yetu hasa Elimu ya juu?
DODOMA
LIVE KWA FAIDA YAKO
Fahamu
Faida zitokanazo na ndizi katika mwili wa Binadamu.
DODOMA LIVE MAKALA YA WIKI
Wananchi katika wilaya ya Bahi Mjini Dodoma wahamasishwa kutunza mazingira. Fuatilia Makala hii kwa undani zaidi.
Wananchi katika wilaya ya Bahi Mjini Dodoma wahamasishwa kutunza mazingira. Fuatilia Makala hii kwa undani zaidi.
DODOMA LIVE MTAANI 13 MARCH 2018
MADEREVA WA MABASI MKOANI DODOMA WAMTAKA RAIS KUINGILIA KATI SUALA
LA WAO KUHAMISHIWA NZUGUNI.
Wakizungumza na Dodoma FM kupitia Segment ya Dodoma Live Mtaani
Madereva hao wameonesha kutoridhishwa na kitendo cha kuhamishsiwa Nzuguni kwa
madai kwamba hawatapata wateja kama ilivyokuwa hapo awali . Aidha madereva hao
wameeleza kuwa eneo wanalotakiwa kuhamia ni katika viwanja vy nane nane karibu
na jingo la Rais mahali ambapo wana hofu huenda kukawa ni changamoto kubwa kwao
ya kuhamishwa mara kwa mara. Fuatilia Mkasa mzima hapa
MPANGO WA TASAF WA KUNUSURU KAYA MASIKINI WANUFAISHA WATU WENYE KIPATO BADALA YA MASIKINI.
Baadhi
ya wananchi katika wilaya ya kongwa mkoani Dodoma wamelalamikia kitendo cha
mfuko wa TASAF wenye lengo la kunusuru kaya masikini kusaidia watu ambao wana
kipato jambo ambalo ni kinyume na utaratibu.
Wakizungumza
na makala ya amua inayorushwa na Dodoma FM wananchi hao wamesema kuwa wamekuwa
wakishuhudia watu wenye kipato wakitumia majina ya watu wasio na kipato katika
kujipatia fedha kupitia mpango huo wa kunusuru kaya masikini.
Fuatilia Mkasa wote katika Makala hii
MTOTO AFICHWA NDANI
NA WAZAZI WAKE KWA TAKRIBANI MIAKA MITANO KWA SABABU YA ULEMAVU ALIO
NAO.NI KATIKA WILAYA YA BAHI MKOANI DODOMA.
SIKILIZA UNDANI WA KISA HICHO KUPITIA MAKALA HII
KAMA UMEHITIMU DARASA LA SABA NA HUKUBAHATIKA
KUENDELEA CHUO CHA DIMD KINAKUKARIBISHA.
Kwa wewe ambae
hujui kusoma wala kuandika na ungependa kufahamu ungana na chuo dimd kutoka
makao makuu dodoma tanzania.
Chuo cha dimd
kinamjali hata yule ambae amehitimu darasa la saba anaweza kujiunga na course
fupi ambazo zitamuwezesha kutimiza malengo yake.
Fuatilia mahojiano yetu kuwafahamu zaidi DIMD
SHULE
YA MSINGI IBWAGA ILIYOPO KATIKA WILAYA YA KONGWA MKOANI DODOMA INAKABILIWA NA
UPUNGUFU WA MATUNDU YA VYOO.
Ilitakiwa
kuwa na matundu 50 kwa wanafunzi wa kike 25 na kwa wanafunzi wa kiume 25 lakini
ina matundu 10 pekee ambayo 5 ni kwa wanafunzi wa kike na 5 ni kwa wanafunzi wa
kiume .
Matundu
10 yaliyopo nayo yamejaa .
wanafunzi wa kike wanapata shida hasa wawapo katika
hedhi hali inayowalazimu wengine kuwa na ruhusa za mara kwa mara kwenda
nyumbani wakati wa masomo.
FUATILIA MAKALA HII ILIYOAMBATANISHWA KUJUA MENGI ZAIDI .
Comments
Post a Comment